.

.

.

.

Monday, November 28, 2011

TAMASHA LA WASANII WAKONGWE

NDIO UMESOMA VYEMA KAMA KUSIKIA KATIKA KUSHEREHEKEA MIAKA 50 YA UHURU WASANII WAKONGWE WAMEKUMBUKWA NA WATAENZIWA KWA KUPEWA TUZO .

WASANII WATAKAOPEWA TUZO NI SHABAN ROBERT (LUGHA).TINGATINGA (UCHORAJI),MORRIS NYUNYUSA (NGOMA),DR ZAWOSE (ZEZE),MZEE MWINAMILA (KUIMBA NA KUCHEZA),SALUM ABDALLA(MUZIKI NA DANSI),YOMBOYOMBO(FILAMU),BI SHAKIRA (TAARAB),BI HINDU (MAIGIZO),CHAKUBANGA(KATUNI),DASTAN NYEDI (VINYAGO) NA MCHEZO WA BAO

KATIKA UKUMBI ::NATIONAL MUSEUM
TAREHE::3 DESEMBA
MUDA::10:30 JIONI
KIINGILIO::25,000 (Pamoja na chakula chaa kitanzania)
TIKETI ZINAPATIKANA ::8020 FASHIONS( SINZA),HADEES FAST FOOD (POSTA),BAMAGA PETROL STATION,NATIONAL MUSEUM NA POLISI UFUNDI
PIGA SIMU ULETEWE ::0732202295,0754/0655 -878675 NA 0715/0789- 666801

No comments:

Post a Comment