.

.

.

.

Tuesday, January 10, 2012

SHERRY PARTY YAFANYIKA IKULU JIONI HII Rais Jakaya  Kikwete akiongea na mabalozi aliowakaribisha katika tafrija ya Mwaka mpya - Sherry Party -  Ikulu jijini Dar es Salaam leo.

Rais Jakaya Kikwete katika picha ya pamoja na mabalozi katika tafrija ya mwaka mpya - Sherry Party - Ikulu jijini Dar es Salaam leo.

PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment