.

.

.

.

Wednesday, January 04, 2012

SHILOLE .........................
Mambo ya mwanadada Shilole akiwaimbisha kwa shangwe wapenzi na washabiki wa muziki mbalimbali waliofika kwenye tamasha la Airtel Bongo 50, ndani ya viwanja Leaders Club Kinondoni jijini Dar mwishoni mwa wiki,ambapo wakazi wa jiji hilo na vitongoji vyake walijumuika pamoja katika mpango mzima wa kuuaga mwaka kwa shangwe.Tamasha hilo lilidhaminiwa na kampuni ya simu za mikononi ya Airtel, kupitia huduma yake mpya ya Airtel Money.

1 comment:

  1. Kaka wa Matukio Uk naomba tuwasiliane... CATHBERT ANGELO KAJUNA-MMILIKI WA KAJUNASON BLOG...Mail; cathbert39@gmail.com

    ReplyDelete