.

.

.

.

Tuesday, January 03, 2012

RAIS JK AOMBOLEZA KIFO CHA AZEEZ SHEWEENRais jakaya kikwete akiweka sahihi kwenye kitabu cha maombolezo ya kifo cha Aziz Sheween, Mikocheni jijini Dar es salaam, Jumatatu jioni nyumbani kwa Afisa huyo wa Mambo ya Nje Mkuu Daraja la I katika Ubalozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, kilichotokea huko Riyadh, Saudi Arabia.
Rais Kikwete akiwa na familia na waombolezaji nyumbani kwa marehemu Aziz Sheween, Afisa Mambo ya Nje Mkuu Daraja la I katika Ubalozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, aliyefariki huko Riyadh, Saudi Arabia.
MAREHEMU AZEEZ SHEWEEN


Rais Kikwete akiagana na familia ya marehemu ya Aziz Sheween, Afisa Mambo ya Nje Mkuu Daraja la I katika Ubalozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, aliyefairiki juzi huko Riyadh, Saudi Arabia.

No comments:

Post a Comment