.

.

.

.

Monday, April 23, 2012

PICHA YA LEO


Rais Jakaya Mrisho Kikwete amewasili  mjini Blantyre ,Malawi  jana jioni kuhushuria  Mazishi ya Profesa Bingu  wa Mutharika, aliyekuwa Rais wa Malawi., aliyefariki tarehe 5 April, 2012  Kufuatia matatizo ya Moyo.(PICHA HAIHUSIANI NA HABARI HII)

Rais Kikwete ni miongoni mwa Viongozi wakuu Saba kutoka nchi jirani na Malawi waliohudhuria mazishi hayo.
 

Nchi hizo ni Afrika Kusini, Benin, Kenya, Msumbiji, Zimbabwe na Zambia.

1 comment:

  1. Maelezo halisi ya picha hiyo haya hapa.. hii ilikuwa mwishoni mwa Februari 2012

    President Jakaya Mrisho Kikwete arrives last night at the launching ceremony of the Presidential Award on the Extractive Industry Corporate Social Responsibility and Empowerment held at the Kilimanjaro Hyatt Regency hotel in Dar es salaam. Right is the Minister for minerals and Energy Mr William Ngeleja and left is the Dar es salaam Regional Commissioner Mr Meck Sadik

    ReplyDelete