.

.

.

.

Saturday, April 14, 2012

TUZO ZA KILI 2012 USIKU HUU MLIMANI CITYWadau wakiwa katika hafla hiyo ya kutoa tuzo za muziki kutoka kulia ni Steven Nyerere mchekeshaji, Meneja huduma kwa wateja wa Multchoice Ronald Shelukindo, Frank Mgoyo na wadau wengine.
Mchekeshaji Steve Nyerere akiwa katika picha ya pamoja na Sinta mwigizaji wa zamani.
Kulia ni Taji Liundi na mbunifu wa mavazi Asia Idarous wa Khamsini.
Mdau Kelvin Twisa ndani ya nyumba pia.
Meneja wa kinywaji cha Redds Vicktoria  Kimaro akiwa na wadau wengine katika hafla hiyo.
Kutoka kushoto ni wadau Benny Kisaka, Mabakila, Evance na Juma Pinto.KWA HISANI YA FULLSHANGWE

No comments:

Post a Comment