WAKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA KUANZIA (kushoto) MH.BALOZI WA TANZANIA NCHINI UINGEREZA PETER A.KALLAGHER ,RAIS WA IRELAND MICHAEL HIGGINS NA MAMA BALOZI JOYCE KALLAGHE" |
Nae Rais Higgins alipokea salamu hizo kwa kusifu uhusiano wa kihistoria kati ya nchi hizi mbili"
Alimkumbuka Baba wa Taifa, Marehemu Mwalimu Julius Nyerere kama mtu shupavu aliyeijengea Tanzania misingi thabiti ya kisiasa na kiuongozi"
Aidha alikumbuka uzuri wa Tanzania na wananchi wake, alioushuhudia alipotembelea Kilosa, mkoani Morogoro miaka ya 1980. Katika shughuli hiyo Balozi Kallaghe alisindikizwa na Mkewe Joyce na Afiisa wa Ubalozi Amos Msanjila. Pamoja na kuiwakilisha Tanzania, Uingereza, (United Kingdom) Ubalozi wa Tanzania London unaiwakilisha nchi pia huko Ireland"
No comments:
Post a Comment