.

.

.

.

Thursday, May 24, 2012

MNYIKA ASHINDA KESI YA UBUNGE

Mbunge wa Jimbo la Ubungo (Chadema), John Mnyika ameshinda kesi iliyokuwa inamkabili ya uchaguzi wa jimbo hilo wa mwaka 2010, baada ya Mahakama kutupilia mbali mashitaka yote matano yaliyokuwa yakimkabili ambayo ni :

1)Kwamba Mnyika alimtuhumu kuuza nyumba za UWT
2)Kutumia Laptop za Mnyika Kuhesabu kura
3)Kuingia watu wengi wa CHADEMA ktk chumba cha kuhesabia kura
4)Kuzidi kwa kura hewa 16,000
5)Kukosewa kwa karatasi za kujumulisha kura (form)

Mlalamikaji Hawa Nghumbi (CCM) anatakiwa kulipa gharama zote za kesi hiyo kama ilivyoamriwa na Mahakama.

1 comment:

  1. Upendo na kuokoa maisha yako! Kutibu virusi vya UKIMWI, hepatitis A, B na C, malaria, malengelenge, chunusi, kifua kikuu, nimonia, saratani, mafua, homa, sumu, uyoga...Ukweli: Wewe ni kuhusu kugundua jinsi ya kutumia 100% ya mwili wako na afya.
    Madaktari mwangalifu kusema:http://2012mmsthrive.blogspot.fr

    ReplyDelete