.

.

.

.

Monday, May 14, 2012

NDEGE MPYA YA ATCL YATUA BONGO


Kaimu Mkurugenzi na Mwenyekiti Mtendaji wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCLPaul Chizi akiongea na waandishi wa habari mara bada ya kuwasili kwa ndege mpya aina ya Boeing 737-500 iliyokodishwa na shirika hilo yenye uwezo wa kubeba abiria 108.
Wafanyakazi wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) wakishuka katika ndegempya aina ya Boeing 737-500 iliyokodishwa na shirika hilo yenye uwezo wa kubeba abiria 108. Ndege hiyo itaanza kuruka bada ya wiki moja. Picha na Mpiga picha wetu


Wahudumu wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) .
Wafanyakazi wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) wakikata keki kusherekea ujio wa ndege ndege mpya aina ya Boeing 737-500. Wapili kushoto ni Kaimu Mkurugenzi na Mwenyekiti Mtendaji wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL )  Paul Chizi

1 comment:

  1. Hongera sana, lakini kazi izingatiwe.

    Tunatia aibu, shirika la mwanzo, wenzetu wakaja kupata experience kutoka kwetu, leo hii wanaruka masafa ya ulimwengu!! sisi tunazidi kufa why?
    tupunguze ulaji wa mali za Umma.

    ReplyDelete