.

.

.

.

Thursday, November 22, 2012

RAIS JK AKUTANA NA THABO MBEKI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais Mstaafu wa Afrika kusini, Mhe. Thabo Mbeki Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya leo Novemba 22, 2012.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Rais Mstaafu wa Afrika kusini, Mhe. Thabo Mbeki baada ya mazungumzo yao  Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya leo Novemba 22, 2012

No comments:

Post a Comment