.

.

.

.

Friday, December 21, 2012

GODBLESS LEMA NI MBUNGE TENA BAADA YA KUSHINDA KESI


  Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mh Freeman Mbowe (wa tatu kulia) akibadilisha mawazo na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mh Godbless Lema ndani ya mahamaka kuu Kanda ya Dar Es Salaam mara baada ya kushinda kesi yake ya rufaa ya kupinga ubunge wake iliyofunguliwa na makada wa tatu wa CCM. Wa pili kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mh Joshua Nassari
 Mawakili wakiwa kwenye viti vyao
 Hawa ndiyo waliokuwa wamefungua kesi dhidi ya Lema

 Lema akianza kutoa hotuba fupi baada ya kutoka mahakamani (kulia) ni Joshua Nassari

 Vitalisi Kimomogoro, wakili wa Lema.huyu ndiye amekuwa na kesi hii tangu mwanzo
 Tundu Lisu, mtetezi wa Lema aliingia baada ya kesi kufika mahakama ya rufaa ameshangiliwa sana.
  
Hapa Lema akiwa na Kilewo wakati wa maandamano ya kutoka mahakamani kuelekea makao makuu ya chadema.
Mwenyekiti Mbowe akihutubia wafuasi wa chama chake makao makuu baada ya Lema Kurudishiwa ubunge na mahakama ya rufaa
Umati wa wanachama wakiwa makao makuu
Lema akiongea na viongozi wa chadema.Lwakatare (Mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa taifa) na John Mrema (Mkurugenzi wa Bunge na Halmashauri). 

Picha na Habari kwa hisani ya Mjengwa Blog.

No comments:

Post a Comment