.

.

.

.

Thursday, May 23, 2013

MISS KURASINI 2013 YAPAMBA MOTO


Miss 1Baadhi ya wanyange wanaowania taji la Redd’s Miss Kurasini 2013 wakiwa wakijifua kwa kucheza wimbo wa ufunguzi wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika ukumbi wa Equator Grill wakijifua kwa shindano lao linalotaraji kufanyika katika ukumbi huo leo.MissWashiriki wa Redd’s Miss Kurasini 2013, wakimsikiliza mwalimu wao Kudra Lupatu wakati warembo hao wakiendelea na mazoezi katika kambi yao iliyopo Equator Grill jijini Dar es Salaam jana. Warembo hao wanataraji kupanda jukwaani leo katika ukumbi huo.

No comments:

Post a Comment