.

.

.

.

Monday, November 04, 2013

RAIS JAKAYA KIKWETE ALIPOKUWA JIJINI LONDON WIKI ILIOPITAMwenyekiti wa CCM UK Ndugu Maina Owino akiongea jambo na Rais Kikwete
Rais Kikwete akijibu swali la Ndugu Maina Owino 
Said Surur aksalimiana na Rais Kiwete pembeni yake ni Ndugu Ahmed Dibibi, Hussein Kova na Gonex
Ndugu Kapinga na Mohamed Upete wakisalimiana nakuagana na Rais Kikwete
Hussein Kova na Gonex wakisalimiana na kuagana na Rais Kikwete
Rahma Lupatu akiwa katika pose na Rais Kikwete mud mchacehe kabla hajaondoka 
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na baadhi ya watanzania waliojitokeza kumuaga jana jioni katika hotel ya Churchill London.
KWA HISANI YA JESTINA GEORGE 

No comments:

Post a Comment