.

.

.

.

Saturday, December 21, 2013

MABOSI WA WIZARA NNE WAENGULIWA NA MH.RAIS


 Aliyekua Waziri wa Mifugo na Uvuvi  David Mathayo
Aliyekua Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchini Dkt  Emmanuel Nchimbi
 Aliyekua Waziri wa Ulinzi Shamsi Vuai NahodhaRais Jakaya Kikwete ametengua rasmi uteuzi wa Mawaziri wa nne waliokuwa wakituhumiwa kwa makosa mbalimbali ya ukiukwaji wa haki za kiraia wakati wa Oparesheni Tokomeza Ujangili iliyokuwa ikiendeshwa na Serikali.

 Akisoma Bungeni mjini Dodoma jana jioni, Taarifa hiyo ya Rais, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda Bungeni mjini Dodoma kuwa Rais ameridhia maoni ya Wabunge wakati wa kujadili ripoti ya Kamati iliyoundwa na kuongozwa na Mbunge James Lembeli kuwa Mawaziri waliotuhumiwa waondoke.

  Aliyekua Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki
----


No comments:

Post a Comment