.

.

.

.

Monday, December 23, 2013

MKASI NA RAY C

1 comment:

 1. Ray C .Nakuombea kheri kwa Mungu aliye mbinguni akubariki zaid . Ni dada uliye jitambua na ukajielewa .Umeongea point tupu.
  Huu sio wakati wa wewe kuomba msamaha kwani hilo ni janga la Dunia nzima hakuna mzazi anayetamani mwanaye awe hivyo au hakuna mtoto anayepanga atumie madawa .Hiyo ni sawa na ajali .
  Kikubwa tunasikia na kuona tujifunze kupitia sauti za walopitia hali hiyo .Tuwaelimishe watoto wetu ndugu zetu na jamaa pia .
  Kwani sijui nani kati yetu atatumia.Hatutembei na wanetu mifukoni ,hatujui makundi yao kwa undni ,Tuwaelimishe Wako hata madaktari,wanasheria,wasomi na waso na elimu wanatumia
  Na hatuwezi kuzuia kwani wauzaji ni wengi wanatamani utajiri bila kujali madhara .
  adhabu iwe kali hata kwa wale wanaopokea ruswa na kuacha mzigo unapita .
  Madawa ni Janga la Dunia nzima na inateketeza masikini kwa matajiri.

  TUJIKOMBOE KWA KUWAFICHUA WAUZAJI

  ReplyDelete