.

.

.

.

Thursday, December 05, 2013

TANGAZO LA MSIBA MANCHESTER- UINGEREZA
 
 
 Jumuiya ya WaTanzania Manchester pamoja na  familia ya Bwana Rajab Mbeyu
 
.Tunasikitika kuwatangazia kifo cha Ndugu yetu / Mtanzania mwenzetu Bwana. HASSAN MBEJU kilichotokea Manchester UINGEREZA.
 
 Taratibu za kuusafirisha mwili wa marehemu kuelekea Tanzania kwa mazishi zinafanyika nyumbani kwa marehemu .
 
Tunaomba kuwapa ratiba rasmi pale itakapokuwa tayari.
 
Kwa sasa tunawaomba Watanzania wo, popote pale mlipo michango yenu ya hali na Mali ili kuweza fanikisha hili.
 
Michango yote tafadhali tunaomba iwasilishwe kwa wahusika  wafuatao:-
    
 Abdul Dau (Leicester ) : 07792104495 
            
 Abeid   Hamis (London)
NATWEST BANK
Sort Code :61 01 37
Account No: 52724743
 
Victor Mashamba (Manchester): 07979 656 165 
Tanzania Association in Greater Manchester 
NATWEST BANK
Account No: 21148066
Sort Code : 01 01 97

TAFADHALI WEKA REFERENCE "MBEJU".
 
Kwa Maelezo zaidi tafadhali wasiliana na wahusika wahusika hapo juu au  wafuatao:
 
Sophie Mbeyu (Sweden)  +46762898798
 
Ishaqa Mbeyu (Norway)   +4798473806 or +4796659593

Jestina George  07404332910
 
Dr.Mohamed Zahrani (London)  07931706414
 
 
"INNA LILLAH WA INNA ILAYHI RAJIUUN"
 
"KWA HAKIKA SISI SOTE NI WAJA WA MWENYEZI MUNGU NA KWAKE TUTAREJEA "
 
 
TUNATANGULIZA SHUKRANI ZETU ZA DHATI
 
MWENYEZI MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU PEMA PEPONI .
 

No comments:

Post a Comment