.

.

.

.

Sunday, January 05, 2014

ZAINABU BUZOHERA AKA ZAY B AFARIKI DUNIA


Zainab Buzohera Wakati wa Uhai Wake


Dullah na familia ya Buzohera wanasikitika kutangaza kifo cha mpendwa wao Zainab Buzohera kilichotokea jioni ya Jan 4, 2014 saa 12:30(6:30pm ET) katika hospitali ya Lanham, Maryland kama ilivyomila na desturi kupeana pole ndio Utanzania wetu 

Tunaombwa tujumuike na Dullah na familia ya Buzohera katika harambee ya mpendwa wao Zainab Buzohera itakayofanyika leo Jumapili January 5, 2014 kuanzia saa 10 jioni (4pm ET) kwa ajili ya kuchangisha pesa za kusaidia na hatimae kuwezesha kusafirisha mwili wa marehemu Tanzania kwa mazishi gharama za kusafirisha mwili ni $15,000 kwa watu waliombali na DMV ambao hawataweza kufika kwenye harambee mnaweza kusaidia michango yenu kupitia 

Ms Ngalu Buzohera CITI BANK AC 50070000 Routing 9106834936

Harambee itafanyika 5401 Anapolis Road, Brandensburg, MD 20710
Ukipata taarifa hii mtaarifu na mwenzio

Kwa wakaazi wa DMV na wale wa majimbo mengine ya jirani watakaofika kwenye harambee tunaomba msaidie kuja vitu vitakavyosaidia kufanyia mnada

Kwa maelezo zaidi na maelekezo

Ngalu Buzohera 340 330 0169
Idd Sandaly 301 613 5165
Jabir Jongo 240 604 0574

R.I.P  ZAY B

No comments:

Post a Comment