.

.

.

.

Saturday, June 14, 2014

WEMA ALONGA JUU YA YEYE NA DIAMOND

Wema Sepetu amesema uhusiano wake naDiamond Platnumz kwa sasa ni imara kwakuwa wamepitia mambo mengi pamoja yaliyowafunza mengi.
Akiongea na vyanzo vya habari hivi karibuni akiwa jijini Durban, Afrika Kusini alikoenda kuhudhuria tuzo za MTV MAMA, Wema alisema hakuna ambacho hawajawahi kukupitia katika uhusiano wao ulioanza tangia mwaka 2014.
“Tumeexperiance good time together, bad time together, sad time, happy times. Sasa hivi tumefika point tumetulia. Tumeshaumizana, yeye kashaniumiza, mimi nilishamuumiza kwahiyo imefika point tumetulia. What we are looking for is just to make our future better na ndio maana you can see tunasapotiana kwenye vitu vingi kwasababu tayari nimeshajua kwamba he is my man, am his woman,” alisema Wema.
“Kitu ambacho kinaspice up the relationship ni kwamba tuna true love for each other, tunapendana mpaka tumepitiliza,” aliongeza.

No comments:

Post a Comment