.

.

.

.

Friday, September 26, 2008

JK NA BILL GATES


Tajiri namba tatu duniani, Bill Gates, amesema kuwa taasisi yake ya Bill and Melinda Gates Foundation itaendelea kusaidia sekta za kilimo na afya nchini katika jitihada zake kusukuma mbele maendeleo ya Tanzania.
Gates, ambaye amesema kuwa kwa sasa anaifanyia kazi muda wote taasisi yake hiyo, pia ameonyesha nia ya kusaidia katika sekta ya elimu pamoja na kusisitiza kuwa ataendelea kujikita zaidi katika sekta ambazo taasisi yake inasaidia kwa sasa.Aliyasema hayo alipokutana na Mheshimiwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania majuzi nchini Marekani.

No comments:

Post a Comment