.

.

.

.

Monday, October 20, 2008

JK NA MAALIBINO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya watoto wenye ulemavu wa ngozi,Maalbino ,wakati alipopokea maandamano ya kulaani ukatili na mauaji ya maalbino,yaliyofanyika katika viwanja vya ukumbi wa Karimjee jumapili asubuhi

No comments:

Post a Comment