.

.

.

.

Tuesday, November 11, 2008

TID LEO ASUBUHI

Mwanamuziki wa kizazi kipya T.I.D au Khalid Mohamed leo asubuhi ametinga mahakama kuu (pichani juu) kueleza nia yake ya kukata rufaa kifungo cha mwaka mmoja alichohukumiwa yapata miezi minne iliyopita. T.I.D hivi karibuni imetoa singo yake mpya matata na ilioyosheheni ujumbe mzito kabisa iitwayo SIWEZI kama uonavyo pichani angali bado yu kifungoni
Picha kwa hisani ya michuzijr.

No comments:

Post a Comment