.

.

.

.

Saturday, May 16, 2009

MAMBO YA UMISS TANZANIA YAPAMBA MOTO

MISS IFM 2009 (KATI) AKIPONGEZWA NA MGENI WA HESHIMA NAIBU MEYA WA JIJI LA BONGO
TANO BORA YA MISS IFM 2009
MISS TANGA 2009 RACHEL MLAKI


Hii ndio ilikuwa tano bora ya Miss Tanga City Center 2009 kutoka kulia nimshiriki namba 9 Agnes Sambo, mshiriki namba 2 Martha Mosses,mshiriki namba 3 Ester Fravian, mshiriki namba 7 Halima Mshenga pamoja namshiriki namba 4 Rachel Mlaki. Washindi hawa wamepata nafasi ya kushiriki Miss Tanga 2009,



No comments:

Post a Comment