
Mkuu wa Vodacom Foundation
Mwamvita Makamba akiwa kabidhi msaada wa komputa wanafunzi wa shule ya Sekondari ya soni Day wakati wa hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Soni Water Falls Lushoto, aliyevaa kilemba chekundu ni mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Lushoto Asha Hazali.
No comments:
Post a Comment