Bi.Kidude ni mwanamuziki mahiri,ngome na hazina ya muziki barani Afrika,juzi juzi alifanya mavitu makubwa huko uholanzi na kuakikishia ulimwengu kuwa yeye ni malikia wa muziki barani Afrika.Bi.Kidude anaendelea na na ziara ya ulaya
.
CHANZO: michuzijr
No comments:
Post a Comment