.

.

.

.

Monday, July 13, 2009

NICOLE RICHIE AKIVINJARI UFUKWENI

Akiwa mjamzito na mimba yake ya pili Nicole Richie (mtoto wa Mwanamuziki Lionel Richie) alibambwa tumbo wazi akionekana yu tayari kushusha Injini wakati wowote na Baba watoto wake Joe Madden mwishoni mwa wiki iliopita.

No comments:

Post a Comment