.

.

.

.

Tuesday, November 03, 2009

MZEE ALEX KUSAGA AFARIKI DUNIA


Mwenyekiti mtendaji wa Clouds Media Group,Bw Alex Kusaga ambaye ni baba yake mzazi na Joseph Kusaga,amefariki leo jioni nchini Afrika ya Kusini ambako alipelekwa kwa ajili ya matibabu. Kwa taarifa zaidi tutaendelea kuwajulisha kadiri ya zitakavyokuwa zinatujia.

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMIN

No comments:

Post a Comment