.

.

.

.

Saturday, April 04, 2015

HARUSI YA JACKLINE NA REGINARD MENGI



Hawa ndio maharusi wetu wapya Mr and Mrs Mengi
Dr Mengi akila kiapo cha ndoa  kumpenda mkewe milele na kwa shida na raha
 Mr and Mrs Mengi wakikata keki yao ya Harusi 
Watoto mapacha wa Dr Mengi Na K-Lynn waliungana na wazazi wao kushuhudia baba na mama wakibadilishana viapo vya ndoa
 Mr and Mrs Mengi wakiwa na nyuso za furaha pamoja na watu wao wa karibu
 Bi na bwana harusi wakiwa kwenye picha ya pamoja na wana familia wa pande zote mbili

Picha zote kwa hisani kubwa ya Bongo5.com

No comments:

Post a Comment