.

.

.

.

Wednesday, November 26, 2008

MAUAJI YA KIKATILI



Leo asubuhi yametokea mauaji ya kikatili maeneo ya Mabibo Majimachafu jijini Dar es salaam baada ya vibaka wawili ambao hawakutambuliwa majina yao kuuawa na wananchi wenye hasira. Imedaiwa vibaka hao walikwapua wapita njia waliokuwa wakiwahi makazini alfajiri..walikimbizwa wakakamatwa na kutiwa kiberiti kama nyama choma'. Mama mmoja wa marehemu alijitokeza eneo hilo na kumtambua mmoja wa vibaka hao kuwa ni mwanae na akasema kwamba alikuwa hajaonekana nyumbani kwa muda wa wiki moja!!!

No comments:

Post a Comment