.

.

.

.

Saturday, April 18, 2009

MH.PINDA YUKO MOSHI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akisalimiana na Maofisi wa Jeshi la polisi na Magereza baada ya kuwasili kwenye uwaja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro Aprili 17, 2009 kwa ajili ya kufunga Mafunzo ya awali ya Polisi na Uhamiaji katika Chuo cha Polisi (CCP) mjini Moshi Aprili 18, 2009. Kulia ni Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi, Said Mwema.

No comments:

Post a Comment