.

.

.

.

Tuesday, April 14, 2009

MISS TZ 2004 FARAJA KOTTA

Mbunge wa jimbo la Singida Kaskazini Mh Lazaro Nyarandu akiwa na mkewe,aliyewahi kuwa MIss Tz 2004 Faraja Kotta wakifuatilia kwa makini onesho la pasaka lililofanyika jana ndani ya ukumbi wa diamond jubilee.

No comments:

Post a Comment