.

.

.

.

Wednesday, July 01, 2009

RAIS KIKWETE NCHINI LIBYA

Rais Muammar Gaddafi akisalimiana na mama Salma Kikwete , Sirte Nchini Libya huku Rais Kikwete akiangalia.Rais amekwenda kuhudhuria mkutano wa 13 wa wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika.
Picha na Fred Maro wa Ikulu

No comments:

Post a Comment