.

.

.

.

Wednesday, September 23, 2009

BURIANI ANITA NGOWI

MAREHEMU ANITA NGOWI

Makamu wa Rais Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakitowa heshima za mwisho kwenye jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Muungano katika Ofisi ya Makamu wa Rais marehemu Anita Ngowi aliyefariki Dunia juzi nyumbani kwake Oysterbay Dar es salaam kutokana na kuuguwa ugonjwa wa Saratani,mwili wa marehemu ulizikwa jana alasiri katika makaburi ya kinondoni Dar es Salaam.

4 comments:

 1. jamani, mungu ailaze roho yako mahali pema peponi Amin. ni miaka mingi tulisoma wote forodhani pr school.

  ReplyDelete
 2. Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi Mama yangu wa Ubatizo

  ReplyDelete
 3. sisi tulikupenda ila Mungu alikupenda zaidi
  Pumzika kwa Amani Mama yangu wa Ubatizo

  ReplyDelete
 4. Kesho kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu ulipoitwa kwa bwana tunakukumbuka sana dada wetu mpendwa , mwenyezi mungu alilaze mahala pema roho yako...milele.AMEN

  ReplyDelete