BUNGENI DODOMA
Mbune wa Kuteuliwa, Zakia Meghiji (katikati) akizungumza na Mbunge wa Busega, Raphael Chegeni (kushoto na Mbunge wa Viti Maalum, Joyce Masunga kwenye viwanja vya bunge Mjini Dodoma .
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Spika wa Bunge Samuel Sita (kushoto) na Mwenyekiti wa CCM wa wilaya ya Urambo, Juma Dewji kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma .
No comments:
Post a Comment