.

.

.

.

Saturday, March 05, 2011

MAMA MIA FASHION SHOW YAFANA

Mbunifu wa mavazi hapa nchini,Mustafa Hassanali akiwa katika picha ya pamoja na wanamitindo akiwashukuru wageni waalikwa mbalimbali waliofika kwenye onyesho hilo murua kabisa,mara baada ya kumalizika kwa onyesho lake la Mamamia Fashion Show lililokuwa na lengo la kukusanya fedha kwa ajili ya kusaidia uzazi salama kwa akina mama ambalo limefanyika usiku wa kuamkia leo kwenye Hoteli ya Movenpick jijini Dar es salaam na kushirikisha wabunifu mbalimbali hapa nchini na kutoka nchini Uingereza,wakiwemo na wageni waalikwa mbalimbali.No comments:

Post a Comment