.

.

.

.

Wednesday, May 25, 2011

SEMINA YA MISS UNIVERSE 2011


Baadhi ya washiriki wa shindalo la Miss Universe wakiwa kwenye semina fupi iliyoandaliwa na Vodacom kwa ajili ya washiriki hao kujifunza mambo mbalimbali ya huduma za kampuni hiyo inazofanya, shindano hilo linategemewa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu na litakuwa lenye warembo 20 na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.

No comments:

Post a Comment