.

.

.

.

Thursday, May 26, 2011

TUMPIGIE KURA " KULIKONI UGHAIBUNI "


Blogu ya KULIKONI UGHAIBUNI (www.chahali.com)inawania tuzo za blogu za Kitanzania zijulikanazo kama TANZANIAN BLOGS AWARDS.

Blogu hii inawania tuzo kwenye kundi la BLOGU BORA YA SIASA au kwa kimombo BEST POLITICAL BLOG.

Cha kufanya,nenda kwenye link hii
http://www.tanzanianblogawards.com/2011/04/faqs.html

Kuhusu jinsi ya kupiga kura soma hapa
http://www.chahali.com/2011/05/tovuti-hii-inaomba-kura-yako-kwenye.html

1 comment: