.

.

.

.

Tuesday, August 16, 2011

KISUTU ...........


Mchele Kilo moja Shilingi 1500 mpaka 1600. Unga kilo shilingi 1000, Maharage shilingi 2000, Choroko kilo shilingi 2000, Kunde kilo shilingi 1500 na Njugu mawe kilo shilingi 2000. Sokono Kisutu jijini Dar es Salaam, leo mchana.

Mfanyabiashara ya Mayai, Rehema Hemed, akiuza mayai leo mchana katka Soko la Kisutu jijini Dar es Salaam. Mayai hayo huyauz kwa shilingi 6000 mpaka 7000 kwa trei moja. Picha zote na Victor Makinda

No comments:

Post a Comment