.

.

.

.

Friday, December 30, 2011

MSANII BORA WA KIKE TANZANIA


 Linah msanii bora wa kike kwa mwaka huu aliyefanya vizuri kwa kuchukua tuzo mbili za Kili Music Award, moja ikiwa kama Mwimbaji bora wa Kike na ya pili ni kama msanii bora anayechipukia. Pia kwa mwana huu Linah ameweza kwenda New York kwenye tuzo za mamaLaura Bush na Atlanta  kwenye mkutano wa Ushers New Look Foundation. Linah kwa mwaka huu amepiga show nyingi sana hapa nchini kuanzia Dar mpaka mikoani kwenye matamasha makubwa yanayoandaliwa.

No comments:

Post a Comment