.

.

.

.

Thursday, January 12, 2012

DUA YA WALIOTUTANGULIA MBELE YA HAKI

Kwa heshima na taadhima tunapenda kuwafahamisha na kuwakaribisha katika hafla ya kuwaombea dua marafiki zetu waliofariki dunia katika kipindi cha miaka ishirini (20) hadi sasa. 
Marafiki waliobaki wa iliyokuwa TAZARA Club, Kinondoni pamoja na wengine wa Leaders Club, Bamboo Club (John Fedha), Hunters, Check Point, Break Point, Rose Garden, Octa’s Pub (Ubalozi wa Ufaransa), Bakulutu, British Legeon, Railway Club Gerezani (Singa Singa) na wengineo wengi wamejumuika kufanya tendo hili la kuwakumbuka marafiki zetu siku ya Jumamosi Tarehe 14 Januari 2012 katika viwanja vya LEADERS CLUB ( KINONDONI). 
Ratiba:
Marafiki na Waalikwa Kujumuika
Hotuba fupi
Dua kusomwa na Sheikh na Padri
Chakula
Mwisho wa Shughuli 

Yafuatayo ni majina ya marehemu tunao wakumbuka: - 
1 Ada Sykes,2 Angela Madondola,3 Balozi Mbapila,4 Ben Branco,5 Bisanga Hamidu,6 Bupe,7 Chacha Marwa Boghas,8 Charles Lyimo,9 Charles Mbandwa,10 Choggy Sly,


11 Costa Teffe,12 Eddy (Inn By The Sea) Moahamed Mbarak Salim,13 Eddy Sally,14 Emanuel Rweikiza,15 Eugine Kagolo,16 Farida Masoli,17 Frank Mutani,18 Four Cash,19 Gasper Akili,20 Geofrey Dahal,


21 George Mazulla,22 Haji (Tanga),23 Hamphrey Akena,24 Hilda (Naomba 100),25 Ippy Malechela,26 Jimmy Mahimbo,27 Joshua International28 Juma Ngida,29 Kalio,30 Karuhinda,


31 Kasheba,32 Kimambi,33 Kimambo NCCR,34 Levis (G8),35 Majuto Tazara,36 Manfred Kapinga,37 Mangappy,38 Mariam Donna Summer,39 Mavalla,40 Mbiku


41 Mfanga,42 Mike Maro,43 Mine,44 Mr. Emanuel Mbando,45 Mr. Labarny,46 Mussa Ngoda,47 Mzee Assey,48 Mzee Bashwan,49 Mzee Joseph,50 Mzee Khatib Siraji,


51 Mzee Mujaya,52 Mzee Mushi53 Mzee Samuel,54 Mzee Shetta,55 Mzee Soud,56 Mzee Tegissa,57 Mzee Yusuf Mandevu,58 Nassor Malocho,59 Ndealle Makere,60 Ng'itu,


61 Nusura,62 Omary Sykes,63 Omary Urembo,64 Othman Maraha65 Othman Matusi,66 Othman Rungu (Matai),67 Pettie,68 PJ (Paul Mdachi),69 Rajab Mwajasho,70 Ramadhan Majungu,


71 Ray Abdu,72 Rhoda Mbandwa,73 Rose Hosea (Mwajasho),74 Royal (Dotto)75 Royal (Kulwa),76 Rukia Mwajasho,77 Saad Suleiman (Tazara),78 Saidi Machupi,79 Sanga80 Shaaban Satto,


81 Shaan Aspro,82 Super Mafuru,83 Tecla (TAZARA CLUB Staff),84 Temu Tuffe85 Tina Mzena,86 Tomito,87 Winston,88 Zaki Aman,89 Zumu,90 Swetu Fundikira,


91 Mfinanga (G8),92 Saidi Bahamari,93 Titus Sam Kamata,94 Azaria,95 Engineer Ulimali,96 Asha Yanga,97 Mr. Mbando


MUNGU AWALAZE MAHALA PEMA PEPONI WOTE WALIOTANGULIA 


“AMEN

No comments:

Post a Comment