.

.

.

.

Thursday, January 12, 2012

WAATHIRIKA WA MAFURIKO BADO NI MATESO ...Baadhi ya waathirika wa mafuriko wanaoishi nje ya Shule ya Sekondari Benjamin Mkapa wakiwa na watoto wao kama walivyokutwa kando ya barabara ya Uhuru Dar es Salaam. Kushoto ni Mwanaharusi Abubakari, Zarika Juma, Fatuma Hemedi na Mwajabu Haruna. Kwa mujibu wa Katibu wa Kamati ya Waathirika waliokuwa wapangaji wa maeneo yaliyokumbwa na mafuriko, Eziaka Wema, eneo hilo lina jumla ya waathirika 130 ambao hawana mahali pa kuishi. (Picha na Mohamed Mambo).

No comments:

Post a Comment