.

.

.

.

Monday, January 09, 2012

MSANII DIAMOND AHUKUMIWA JELA MIEZI 6 AMA KULIPA FAINI

DIAMOND ASUBUHI HII MJINI IRINGA


MSANII nyota wa muziki wa Kizazi kipya Diamond na wenzake wamekubali kosa la kumshambulia blogger wa mjini Iringa Bw.Francis Godwin na kuhukumiwa kwenda jela MIEZI 6 Kila mmoja ama kulipa faini shilingi 50,000 kwa Kila mmoja ikiwa ni Pamoja na kulipa sh. 30,000 kwa Godwin Francis (Mlalamikaji)


Watuhumiwa wamelipa faini 

No comments:

Post a Comment