.

.

.

.

Saturday, February 11, 2012

IBADA YA KISWAHILI LONDON

lutheran.jpg
Ibada ya Kiswahili London inapenda kuwakaribisha wakristo wote wazungumzao Kiswahili kwenye fellowship itayofanyika katika kanisa la kilutheli kuanzia saa kumi na mbili jioni (6.00pm) Jumamosi ya tarehe 11/02/12.kwenye fellowship hiyo kutakuwepo na mafundisho ya neno la Mungu pamoja na maombezi kwa wagonjwa na wenye shida mbali mbali 
address ni:

St Anne Lutheran Church

Gresham Street

London EC2V 7BXTel: 020 7606 4986

Kwa maelezo zaidi wasiliana Na Mtheologia Moses Shonga: 07791070103

Mchungaji Tumaini Kallaghe: 07956522072Usafiri wa mabasi pamoja Na treni unapatikana;

Kituo cha treni (Underground Central Line) Na mabasi  ni St Paul Station. 5 minute walk kutoka station.

Buses numbers: 172, 100, 242, 8 & 25


MKARIBISHE NA MWENZIO.

No comments:

Post a Comment