.

.

.

.

Sunday, April 29, 2012

HAKI NGOWI APATA JIKO


.

 Tunapenda kutoa pongezi nyingi kwa mwanalibeneke mwenzetu Nd. Haki Ngowi na mkewe Edna Kyando kwa kufunga pingu za Maisha. Mungu awabariki sana. .

1 comment:

  1. Macho huwa hayafichi hisia. Yenu yanaongea lugha ya sayari nyingine. Mmependeza, Ngowi kany. Hongereni...

    ReplyDelete