.

.

.

.

Wednesday, April 11, 2012

MSANII LINAH APAGAWISHA WASHINGTON DC




 Linah akivuta hisia kwneye show yake Washington DC
 
 Mdau akichukua taswira ya mwimbaji Linah alipokua akiwasha moto kwenye show yake Washington DC nchini marekani
 Wadau mbalimbali wakicheza kwa furaha songi mbalimbali zilizokua zikiporomoshwa na msanii Linah kutoka Tanzania kwenye show yake iliyofana sana Washington DC nchini Marekani

 Linah akiiimba kwa hisia kwenye show yake DC

 Linah(kulia)akiwa na wadau
Warembo mbalimbali waliojitokeza kwenye show ya linah Washington DC nchini Marekani
-- 
Mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya,Estalina Sanga 'Linah' amepagawisha wadau mbalimbali Washington DC nchini Marekani ambapo tarehe 21 Mwezi Huu anatarajia kupagawisha wadau wa Miji ya COLUMBUS OHIO

1 comment:

  1. duuh hicho kivazi umependeza kweli bint...kip it up uje na london pia..

    ReplyDelete