.

.

.

.

Wednesday, September 05, 2012

MKUTANO WA CHADEMA MILTON KEYNES NI TAREHE 15/09/12


PEOPLE'S POWER!

JE, UNAIPENDA TANZANIA?

KAMA JIBU NI NDIYO, BASI NJOO UUNGANE NASI MILTON KEYNES
NETHERFIELD  MEETING PLACE, FARNBOROUGH NETHERFIELD
MK6 4JB kuanzia saa kumi jioni mpaka saa tatu usiku

Asanteni sana
 
Chris Lukosi

Mwenyekiti UK

No comments:

Post a Comment