.

.

.

.

Sunday, April 07, 2013

PARTY YA KUMKARIBISHA KAJALA YAPENDEZA
Usiku wa kuamkia leo ndani ya Lounge ya AmbassadorKajala Masanja amefanyiwa Party ya kumkaribisha rasmi baada ya kutoka Segerea. Party hiyo ilihudhuliwa na mastaa na marafiki zake wa karibu.

No comments:

Post a Comment