.

.

.

.

Thursday, March 05, 2015

HAPA NA PALE YA LEOMwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya nchi za Nje na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini, Dianna Melrose katika Ofisi ya Mwenyekiti huyo wa bunge jijini Dar es Salaam leo.
Edward Lowassa akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini, Dianna Melrose.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya nchi za Nje na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akiagana na Balozi wa Uingereza nchini, Dianna Melrose baada ya wawili hao kukutana na kufanya mazungumzo jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment