Binti Kiziwi’ wa Z-Anto (juu pichani) nao umechaguliwa kuwa ni miongoni kati ya nyimbo ambazo zinagombea nafasi ya wimbo bora kutoka Tanzania katika tuzo za kisima Awards, zinazotarajiwa kufanyika nchini Kenya tarehe 29 Novemba, ili kumfanya Z-Anto alinyakue jituzo hilo utatakiwa kutuma ujumbe mfupi kwa njia ya simu kwa kuandika 25E kisha unatuma kwenda kwenye namba 4142.Kumchagua Z-Anto ni kutoa mchango kwenye sanaa ya Tanzania.Mungu Ibariki Tanzania
No comments:
Post a Comment