FRIDAY MAY 22 - SUNDAY MAY 24,Siku ndio zimekatika,sasa hivi tunahesabu saa kadhaa tu,ile siku ya siku ya Wabongo ku mingle pamoja na marafiki wa siku nyingi,kukutana na washikaji ambao hukutegemea kuwakuta kwenye hii,WABONGO REUNION sisi ni wabongo,tunao ongea lugha moja na tunaojivunia umoja wetu,wote kwa pamoja ndani ya kapitali,WASHINGTON DC,karibuni,tufahamiane,tuzungumuze,tunong'onezane na hatimae tufurahi pamoja kwa musiki,michezo na kula nyama choma pamoja bila kusahau kale kanywaji bardi ile roho inapenda,sisi sote ni Watanzania,nchi tunayoipenda kwa moyo wote,huu ndio wakati uliokua unasubiri ufike,ili na wewe uwe mmoja wao ya wale watakaokua wa kwanza katika hii REUNION ya kwanza ya aina yake
Ijumaa may 22 DENIM NIGHT kuanzia 3 usiku(9:00pm)mambo yataanzia ZODIAC LOUNGE-address ni
654 Center point way
Gaithersburg,Md 20877
Dress code:pamba yoyote mradi umependeza,
Jumamosi may 23 kuanzia saa 10 jioni(4:00Pm)mambo yataanzia FAIRLAND RECREATION PARK kwa Nyama choma,mpira wa mguu Houston stars v/s Bongo United fc na kufuatiwa na mechi kali ya kikapu,Pazi,Vijana na Don Bosco addrees ya park
3928 Green Castle Road,
Fairland,Md 20866
Baadae usiku kwenye FREE STYLE NIGHT kuanzia saa 4 usiku(10:00pm) THE HERITAGE-address ni
1337 Connecticut Ave,
Washington,Dc 20036
Dress code:vaa upendeze lakini club hairuhusu T-SHIRT au SNEAKERS
Jumapili may 24 kuanzia saa 10 jioni(4:00pm) mambo yote ni nyama choma na mpira wa miguu,wakina dada Dc v/s kina dada out state na wakipatikana wakina dada wengi watakao pendelea kucheza Netball mechi itachezwa siku hiyo ya jumapili address ya park
3928 Green Castle Road
Fairlnd,Md 20036 na baadae usiku kuanzia saa 4 usiku(10:00pm) WHITE PARTY NIGHT Zodiac Lounge Gaithersburg-address ni
654 Center Point Way
Gaithersburg,Md 20877
Dress code:pamba nyeupe lakini si lazima
MA-DJ WATAKAOKURUSHA ROHO,NA KUKUPA ILE KITU NAFSI INAPENDA NI MUTOTO YA MUJINI DJ JOE"CAT DADDY" (W.K.Y.S.F.M.),MUTU YA PAMBA,DJ SEIF,MUTOTO YA JIRANI,DJ REDDIE NA MUKULU,THE MIX OLDSKOOL MASTER DJ LUKE. Kwa taarifa zaidi bofya www.wabongoreuniondc.com au simu 240 411 2380,301 300 2742,240 715 2077
No comments:
Post a Comment