.

.

.

.

Thursday, April 16, 2009

KANDA ZA MISS TZ PAMOJA NA TZUK


Mwenyekiti na mwanzilishi wa Miss Tz Prashant Patel akiwa na waandaaji wa kanda tatu za dar pamoja na miss tz UK. toka shoto ni Jackson Kalikumtima (Ilala). Boy George (Kinondoni) Ben Kisaka (Temeke) na Juma Pinto (UK) katika picha ya pamoja kwenye uzinduzi wa udhamini wa TBL kupitia kinywaji chake cha REDDS

No comments:

Post a Comment